Hahaha hilo buti linafaa kuwabutulia vijana wanaotusumbua wajukuu wakoHahaha..........thanks for the courage Mjukuu.
Hili Buti hata nikikanyaga msumali unavunjika wenyewe πͺ
Hahaha......Mimi pia nimeamua kutengeneza gallery kama za Wachina, nataka Vijana wangu wajifunze namna hela inatafutwa Kwa shida.Kuna kipindi kanuni inakuwa violated ππππ sema wakipata kivulini wanaishia hata segerea wachache hupatia kivulini na kulia kivulini
Tuendelee kupambana tu, Wazungu wanasema "There is no free Lunch......"Mpambanaji. Safi sana
Utamu wake unaisha ππAcha kumfananisha yolly yolly ππ na bigijii ww single forever ππππ
Hawa Vijana wamefanya niingie Dukani kununua hili Buti Kwa ajili ya Ulinzi wa Wajukuu zangu πHahaha hilo buti linafaa kuwabutulia vijana wanaotusumbua wajukuu wako
Yaani babu we acha tu, kuna vijana sio wema kabisaHawa Vijana wamefanya niingie Dukani kununua hili Buti Kwa ajili ya Ulinzi wa Wajukuu zangu π
Alafu Jana, nilisikia Jiwe Juu ya Bati. Nahisi Kuna Mjukuu wangu alikuja Kuitwa Kinamna.
ππππ mtu unawaza na kuumiza kichwa hela iingie.. Unawaza na kufikiri hadi unahisi huna tumbo wala kitu kinacho itwa usingizi..Hahaha......Mimi pia nimeamua kutengeneza gallery kama za Wachina, nataka Vijana wangu wajifunze namna hela inatafutwa Kwa shida.
Hela lazima iwe ya kuitolea Jasho, na Mwanaume lazima ajifunze kuitafuta
Hahahaha.................yaani kabisa, alafu walivyo wajanja wamejua nimefuga Mbwa Wakali wao Kila wakija wanakuja na Nyama wanawapa Mbwa then wanawatorosha Wajukuu zangu π€ͺYaani babu we acha tu, kuna vijana sio wema kabisa
Inabidi kuwa standby muda woteπ
Kabisa aisee, inafanya hadi nguvu zile nyingine kuisha. Bora tulivyozaaga mapema πππππππππ mtu unawaza na kuumiza kichwa hela iingie.. Unawaza na kufikiri hadi unahisi huna tumbo wala kitu kinacho itwa usingizi..
Mbwa nao wanaendekeza njaa sana πHahahaha.................yaani kabisa, alafu walivyo wajanja wamejua nimefuga Mbwa Wakali wao Kila wakija wanakuja na Nyama wanawapa Mbwa then wanawatorosha Wajukuu zangu π€ͺ
Ndyo kama kazaliwa Leo yolly yolly [emoji7][emoji7]Utamu wake unaisha [emoji1][emoji1]
Unaendaga mitaa ya kizungu sana.. Nakubali
Hahahahahaha................... hadi nahisi Wanapewa Burger na Pizza, ngoja niendelee kutafiti, haiwezekani waamue kunisaliti hivi π€ͺMbwa nao wanaendekeza njaa sana π
π€£π€£Hahahahahaha................... hadi nahisi Wanapewa Burger na Pizza, ngoja niendelee kutafiti, haiwezekani waamue kunisaliti hivi π€ͺ
Lizzy mwenye ni mzungooo πUnaendaga mitaa ya kizungu sana.. Nakubali
Huku tumejaa waswahili tu.Unaendaga mitaa ya kizungu sana.. Nakubali
sitaki , nitafuta na kijana mwenzangu lol .Hutak kula Pension yake unafel wap ww
Ukirudi niite nije niwapikie sikuHawezi kupika ana mikono laini π