Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Uko mzuri hvyo mamiii afu upo single akiii dunia haina huruma
Yolly yolly mwambie akanionyeshe mganga wake πππTulia ww kijana hujui maana ya mapenzi najua kupenda najua kujali najua kuyaficha madhaifu ya yolly yolly π wangu najua kumpa tabasamu hakiwa hana huzuni na mapenzi pia najua ndyo maana yolly yolly ππ kakolea kwangu
πππDunia imenitengaUko mzuri hvyo mamiii afu upo single akiii dunia haina huruma
Hahahahaha..................Mazoezi Mjukuu, ila umri umeenda Babu yako πHongera Babu ila kamkono ka gentleman bibi yetu alijua kuchagua
ππππππππ jaman mm nikipenda mambo ya kucheat kwangu hayana nafasiYolly yolly mwambie akanionyeshe mganga wake πππ
Utapata nusra tu soonπππDunia imenitenga
AmenUbarikiwe sana
Mazoez ya Nini na bibi yupo piga push up hapohapo ila usimuumize bibiyangu πHahahahaha..................Mazoezi Mjukuu, ila umri umeenda Babu yako π
Eti huyu mtoto yuko Single!!!!
Kweli mkuu sehem za ibada kwenda ni muhimu sana tusijisahauAmen
Siku Moja Moja unakwenda Church kupunguza mizigo π
Mizigo ni mingi Kuna wakat unaweza kujihis una mizigo mingi unaipunguza Kwa spidi na maombi ya kutosha ila ukiingia jf Kwa vijana Hawa Babu wew unaweza kuwa malaikaπππππAmen
Siku Moja Moja unakwenda Church kupunguza mizigo π
Hahahaha................nitazingatia MjukuuMazoez ya Nini na bibi yupo piga push up hapohapo ila usimuumize bibiyangu π
HahahaHuyo ndo rafiki yangu π₯° ,
Asante ndugu , nimeona najibania acha nijiachie nifurahi .
Maisha ndo haya haya
YOLO
Chukua mtoto mzur huyo vijana mnafeli wapiEti huyu mtoto yuko Single!!!!
Basi pambana na baba mtoto tu usije niharibia kijana wangu PokerπππBaba wa mtoto Yu haiππππ
Sawa BabuHahahaha................nitazingatia Mjukuu