Ningekuwa na babe aisee ,ningemleta kwako ajifunze ππNataka mjifunze kwangu jinsi ya kupenda ππ
ππππ msalimie shemeji au ww ni single forever au bora uzima tuTumekoma tusamehe tumekosaπππ
Wanaume wote hao unakuaje single ww binti unachagua sana ehhNingekuwa na babe aisee ,ningemleta kwako ajifunze ππ
Tulia ww kijana hujui maana ya mapenzi najua kupenda najua kujali najua kuyaficha madhaifu ya yolly yolly π wangu najua kumpa tabasamu hakiwa hana huzuni na mapenzi pia najua ndyo maana yolly yolly ππ kakolea kwanguMapema mno kijanaπ€£
Hizi mbwembwe za mwanzoni sizikufanye tukakusoma kwa Millard ayo βkijana ajinyonga mara baada ya kutoambiwa ailavyuuuu na mpenzi wakeβ
Bora uzima tuπππnakula nashiba nalalaππππ msalimie shemeji au ww ni single forever au bora uzima tu
Sina bahati na mahusianoWanaume wote hao unakuaje single ww binti unachagua sana ehh
Raha ya kula ulishwe sasa upo single unakula ili iweje shemeji πππ nenda kwa Poker yupo singleBora uzima tuπππnakula nashiba nalala
Nikija nitakupa rafika angu muwe wote sitak Uwe singleSina bahati na mahusiano
Nawaachia nyie mnaoweza .
Sichagui hata , ila sionekani ππ
Mambo hayo π₯³π₯³Nikija nitakupa rafika angu muwe wote sitak Uwe single
Nishachoka kuwa single ππNikija nitakupa rafika angu muwe wote sitak Uwe single
Usilalamike sana rafiki angu nipo kwa ajili yako nataka upate furaha kuzid furaha ninayopata kwa yolly yolly ππ kupendana raha nyie hasa wote mkiendanaNishachoka kuwa single ππ
Nifanyie mpango na mie nideke
Pesa sina , na mpenzi sina aisee sio fair π
Huyo ndo rafiki yangu π₯° ,Usilalamike sana rafiki angu nipo kwa ajili yako nataka upate furaha kuzid furaha ninayopata kwa yolly yolly ππ kupendana raha nyie hasa wote mkiendana
Bora uende ukatubu
Hahahaha.......Uzee unatisha Mjukuu, hapa nimeanza kutubu Kwa unyenyekevu wote π€Bora uende ukatubu
Ameen babu yetu kipenz
πππTulia ww kijana hujui maana ya mapenzi najua kupenda najua kujali najua kuyaficha madhaifu ya yolly yolly π wangu najua kumpa tabasamu hakiwa hana huzuni na mapenzi pia najua ndyo maana yolly yolly ππ kakolea kwangu
Hongera Babu ila kamkono ka gentleman bibi yetu alijua kuchaguaHahahaha.......Uzee unatisha Mjukuu, hapa nimeanza kutubu Kwa unyenyekevu wote π€
Ubarikiwe sana
Yupo single huyo kijana afu hana mambo mengiπππ
Poker ya kweli haya nijiweke hapoπ