Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
Nimepambana kuomba maji ..kuwagongea watu usikuKaribu magimbi upate nguvu ya kutengeneza vizuri
eeh najaNjoo pm Kwanza nikubembeleze Leo Nina mood ya kubembeleza ππ
Weee sina komwe mie[emoji125][emoji125]Tuamshe kwa kuweka hilo komwe..
πππ Mkuu utatumalizia saruji viwandani, au unataka soko lote la kusini lije kwako tuu πππ..National Anthem weka oda chapView attachment 2373650
Thanks bro aluta continua ,, [emoji3][emoji3]viwandani haiishi nataka mpaka wanipe uwakala mkuu southern highlands[emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu utatumalizia saruji viwandani, au unataka soko lote la kusini lije kwako tuu [emoji2][emoji2][emoji2]..
Ninafuraha kwa ajiri yako Bro. Mungu akunyanyue zaidi
Lizzy unaenda wapi ππNational Anthem nakupitia....View attachment 2373679
Na sigara unavuta kumbe
Ndio mana nahitaji kuombewa my babe!βΉοΈNa sigara unavuta kumbe
Scotch whisky [emoji39][emoji39] hapo upate na pork ribs [emoji91]
Wapi ππSi kutembea...π
Si hapo bookshop....au??? Juzi nimezunguka kote na bado nikatoka bila π π hata kimoja π₯΄Wapi ππ