Njema mkuu wa,,,,,,,Mkuu wa shule ya msingi.....
Habari za asubuhi
ππππ Humu wapo wengi ila ndio wabaguzi sana ila Hannah kama anakufaa kupata mifuko ya cement na nondoHahaha sawa Kaka mtoto yupi huyo nikusaidie kupiga debe mniungishe cement,,na Mimi nitafutie kabinti humu kakukahonga cement na nondo
ππ Nipo Absa kwa nyuma nafika hapo sasa hiviNjoo uniongezee uvumilivu maana nshachoka π΅π΅View attachment 2370630
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Yani mtu unabadili ID unabadili avatar kwenye mahusiano utatulia kweli ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nakusubiria πππ Nipo Absa kwa nyuma nafika hapo sasa hivi
πππ Mie nataka cocaNakusubiria πView attachment 2370632
Sina wasiwasi na Bibi yenu,Ndio babuu naogopa kugechwaaaa!! Lol itabidi usafiri nae sasa unamuachaje bibi aende pekeake Lakini huko Mjini kumeharibika babu jipange muende wote Babu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Kweli wazee mna busara sana babuu hongereni sana!!Sina wasiwasi na Bibi yenu,
Unajua tumeshazeeka saivi na kikubwa Wazee tuna slogan yetu kuwa "Kitanda Hakizai Haramu"π€ͺ
As long tumeoana basi watoto wote ni wangu hata kama ni matokeo ya mechi zako za kirafiki huko nje π€ͺπͺ
Ninyi Vijana ikitokea hiyo hali basi na ndoa inavunjika hata kama Ina wiki 8π
Amen MjukuuKweli wazee mna busara sana babuu hongereni sana!!
Wewe em lala π€£π€£
Labda uje tulale πππWewe em lala π€£π€£
Nisubiri hapo hapo nakujaLabda uje tulale πππ
Kwa chap chap ππNisubiri hapo hapo nakuja