National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Hapa ukinywimwa tuzo ya Mo Ibrahim naandamana.. kitu bado piruuuu.. Kumbe mpo watoto wabichi wabichi kabisa chuchu konzii πππ[emoji1732][emoji1732]View attachment 2368859
[emoji12][emoji12][emoji12]Hapa ukinywimwa tuzo ya Mo Ibrahim naandamana.. kitu bado piruuuu.. Kumbe mpo watoto wabichi wabichi kabisa chuchu konzii [emoji846][emoji846][emoji846]
Hongera kwa kujitunza na kuupenda mwili wako πππ[emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji120]Hongera kwa kujitunza na kuupenda mwili wako [emoji846][emoji846][emoji846]
Daaahhhh sasa nani atatutupia vinyimbo vya celine dion jamanππ€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ Sasa hivi zinaisha.. Napotea hewani
Usiondoke zako mwaya tena ufanye chap na wew uoe uwe na watoto wako hapo hapo. Si unajua dunian tunapita makao yetu ni mbinguniπππ Uzuri mie home hawafukuzi mtu kuna Bro wangu mwingine hadi kao hapa hapa hadi kazeeka kama ukoo wote tunaishi hapa kazi kwetu mabepari hamtaki kukaa home mnaona aibu.. Mie hapa siondoki hata nioe
Nasubiro buku tano yangu ya jioni dog nikishawalisha na kumwagilia bustani, nitaunga la DAR UNI ππ nitapata 2.8GB mtanikomaDaaahhhh sasa nani atatutupia vinyimbo vya celine dion jamanπ
Ewaaa huyu huyu dada wa kazi nitajiribu kima sihara, inaweza nasa na mie nikawa baba βΊοΈβΊοΈUsiondoke zako mwaya tena ufanye chap na wew uoe uwe na watoto wako hapo hapo. Si unajua dunian tunapita makao yetu ni mbinguni
Huna baya mwnywe. Ufanye hivo usiku utume vinyimbo vya kulalia tulale vizuri sieNasubiro buku tano yangu ya jioni dog nikishawalisha na kumwagilia bustani, nitaunga la DAR UNI ππ nitapata 2.8GB mtanikoma
Afadhal jaman embu fanya hivo na ss tuitwe ma aunt. Tena uchangamke haswa atoke dume.Ewaaa huyu huyu dada wa kazi nitajiribu kima sihara, inaweza nasa na mie nikawa baba βΊοΈβΊοΈ
Kama upo single situmii π€£π€£Huna baya mwnywe. Ufanye hivo usiku utume vinyimbo vya kulalia tulale vizuri sie
πππ Weee.. Dume na kweli kuna beki tatu mmoja nimesababisha alienda angalia hospital kakuta ametunga mtoto mwanaume.. Utakuwa na maono weweπππAfadhal jaman embu fanya hivo na ss tuitwe ma aunt. Tena uchangamke haswa atoke dume.
Nipo single na usitume ntasikiliza zile za radio oneπKama upo single situmii π€£π€£
Sina maono yoyote. Mtu unakula zako vzuri kazi kidogo sasa mbegu lazma ziwe vzuri nazo chappp mtoto wa kiume. Hongera lakin jitahidi next time watoke mapachaππππ Weee.. Dume na kweli kuna beki tatu mmoja nimesababisha alienda angalia hospital kakuta ametunga mtoto mwanaume.. Utakuwa na maono weweπππ
Leo mbona yuchubu itakukoma na MB zetu za aftatuπDarlin ππ kitu cha moto moto hiki kutoka kwa Dj from studioView attachment 2368877