Hahaaaàa!sio kua ulikosa umefeli ,hapana,ni kua haukupita mgongo wa nyuma dear,ndo Wana hzo mambo!ndo nimeàmbiwa na miye ,rafikii yangu yeye kupata tu katoa 1m,then kishika jina 1m,Hapo bado ada n.k na Marian nadhan nao unatoa laki 5 ya jina pia..nimeshindwa Mimi,maana ada yenyewe papatu,papatu
aende boarding apate elimu nzuri atimize ndoto zake ambazo miye nilishindwa.