Sasa sikia hapa ni JF, sina uhakika kama unanifahamu ama imekuwaje na hilo jina. Ila naomba uliache.
Kama unanifahamu basi endelea kulitumia huko kwingine sio hapa
Weekend ndo hii na mpango ndo huo nishauseti kabisaa. Mwenye kuuhitaji aje Dm nimpe handle. Msije Sema Ooh wana hawatoi koneksheni Mara hivi Mara vile. Njoo PM ukajiponee bila kwere,maana katikati ya mwezi kutoa hiyo laki bila kuzama upande wa pili hapana kwa kweli.