[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16]watajua wao...mwendo wangu nimeumaliza kwao!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji38]Shemeji bana...
Nimekaona ka Koku.
Na mama yake...
Kamalaika. Karembo. Kapendeka. Kabarikiwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wasukuma huko waliko wakisikia hizi habari sipati picha watakavyoumia [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji1]acha masikahara bwamdog!anytime karibu tuuNina karibu mwezi nipo hapa
Nilikua na msiba wa baba
Sema lini nije kudoea mtori wa mtoto
Pole mkuu.Nina karibu mwezi nipo hapa
Nilikua na msiba wa baba
Sema lini nije kudoea mtori wa mtoto
[emoji16]balaa watu wako sirias na maisha Sana sijui ndo tozo au vipii!Kumbe watu wako siriazi hivyo eeh!
Kama ni hivyo basi ni vizuri kuwa waangalifu. Pole shemeji [emoji1545]
Nitakaribia[emoji16][emoji16][emoji1]acha masikahara bwamdog!anytime karibu tuu
Afu pole na msibaa pia
Asante sana mkuuPole mkuu.
Mzee wako apumzike salama mikononi mwa Bwana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Baba zao wakoje? Na babu na bibi zao je? Ukifuatilia vizuri kuna mahali wanapata hizo genes za weupe. Hata ka Koku keupe hatari![emoji38][emoji38][emoji16][emoji16]watajua wao...mwendo wangu nimeumaliza kwao!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji38]
Afu Shimba ngoja niulize,Mimi bwana sio mweupe Sana ni normal tu ila sasa Sasa wanangu wana rangi wote!hii inatokana na Nini?
Washindweee![emoji16]balaa watu wako sirias na maisha Sana sijui ndo tozo au vipii!
Sasa hivi uangalifu muhimu Sana!waja wana hasira za tozo kwetu!hawajaamua kuachia mioyo ikubali kuenjoi
Mipingo yaani[emoji1][emoji1][emoji1]...Bibi zangu Mimi kwa mama na mama walikua weupe mnoooo!Kama waarabu yaani km mzaa baba mpk uzeeni alikua mweupe sanaaa..Ila wadogo zangu ndo weupe hasa..mi wa kawaida sio mweupe na vumbi la Dodoma Sasa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimepauka mnoooBaba zao wakoje? Na babu na bibi zao je? Ukifuatilia vizuri kuna mahali wanapata hizo genes za weupe. Hata ka Koku keupe hatari!
Lakini mbona hata wewe ni cheupe tu shemeji?
Angalau kuna kaunafuu kidogo. Gojazi ezi yujo shemeji langu 🔥🔥❤️❤️
[emoji38][emoji38][emoji38]mwigulu is untouchable!wanakuja kwetuWashindweee!
Hasira zao za tozo si wampelekee Mwigulu? [emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji1][emoji16] ahsante tushazeeka siyeAngalau kuna kaunafuu kidogo. Gojazi ezi yujo shemeji langu [emoji91][emoji91][emoji3590][emoji3590]
Uje nkupe na rambirambi ..pole mnoo kumpotezea baba ,I can feel you bestieNitakaribia
Asante sana
Basi watakuwa wanatoa genes za weupe huko wala huna haja ya kushangaa. Akina Minza wataleta ng'ombe kibao wallahi 😁😁😁Mipingo yaani[emoji1][emoji1][emoji1]...Bibi zangu Mimi kwa mama na mama walikua weupe mnoooo!Kama waarabu yaani km mzaa baba mpk uzeeni alikua mweupe sanaaa..Ila wadogo zangu ndo weupe hasa..mi wa kawaida sio mweupe na vumbi la Dodoma Sasa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimepauka mnooo
Uzeeke wapi hata 30 si ajabu bado? Tena ikikupendeza uongezee na kengine Koku apate Kalangira....[emoji1][emoji16] ahsante tushazeeka siye
Yaani watoto wangu km wasingefanana na dingi yao ningeambiwa nimepiga ndondo cup,Ila rangi tu sura Sasa[emoji1][emoji1]za kilimo kwanza huko Kanda ya ziwa...Basi watakuwa wanatoa genes za weupe huko wala huna haja ya kushangaa. Akina Minza wataleta ng'ombe kibao wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Niko late 30's approximately 40...!!!Uzeeke wapi hata 30 si ajabu bado? Tena ikikupendeza uongezee na kengine Koku apate Kalangira....
Ameen!uwe na wakati mwema na ubarikiwe Sana shemeji!Msalimie mrembo wetuShemeji baadaye. Mi naondoka kidogo. Mungu Akubariki sana pamoja na ka Koku ketu, dada zake pamoja na mzee.
Ilikua na bado ni ngumu sana, ila Mungu ni mwemaUje nkupe na rambirambi ..pole mnoo kumpotezea baba ,I can feel you bestie