Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,290
Usiwaze mr Vocha sema Sina bando la kuload picha mkuu haikuwa ridhiki Yangu tu see you tomorrow wapendwa kesho nayo ni siku!Bosslady kwanza nilijua upo unazilamba kimya kimya, usiondoke leo ni bandika badua







Asante Mr vocha wananitesaga sana humu ndani wajumbe Hadi nikaacha