Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Wacha niloweke miguu kabisaUsibandukee
Wacha niloweke miguu kabisaUsibandukee
Naomba umuite Carrasco putin asije akalaumuWacha niloweke miguu kabisa
Ooh!!sawa mkuu tutakutanaUtanikuta mkuu wangu namimi nimetoka niko Dom kidogo ila weekend kama kawaida
Salama mkuu..Salama chief
Sijui katekwa na nan huko alikoNaomba umuite Carrasco putin asije akalaumu
Hii nimeipata 😂Asante Mr vocha wananitesaga sana humu ndani wajumbe Hadi nikaachaSelfika na #airtel#
*104*90622213080469#
Aunt kumbe upo kimya kimyaHii nimeipata 😂Asante Mr vocha
Mwee ngoja niweke mabarafu kwenye hili beseni ndio nisisinzieTwende short break tumsubiri kaka mkubwa Carrasco putin aje leo ni bandika bandua hadi asubuhi
Mziguaaaa😍😍
Bosslady kwanza nilijua upo unazilamba kimya kimya, usiondoke leo ni bandika baduaRoho mbaya haijengi mr vocha! hata kuniita😌😌 nina mb 8 tu hapa hata hizo vocha hazitafunguka!!
Usiku mwema wapendwa bando lisijekata huku sujalog out👋👋🤏🚶🏼♀️