๐คShikamoo Granpa!Hahahahaha..................๐๐๐๐๐
Oh Lord, you knowMtoto mdogo ww unakuja mpka hzo songs
Marahaba Mjukuu, habari za Mjini?๐คShikamoo Granny!
Habare ya saiiโ
Huku kwema sana babuu mvuamvua ndio zimeanza !!Marahaba Mjukuu, habari za Mjini?
Awapiii nina kitambi kwa sasa๐ฌ๐ฌNionepo uvopendeza jamaneee!! Yeah ukizaa mwili unatanukaa sema mie huwa napunguaaa!!
Kwa jinsi navyopenda kulima ningekuwa huko saivi mngenikuta shambani ๐คชHuku kwema sana babuu mvuamvua ndio zimeanza !!
Weeee kitambi wapiiiii mama katotoo ! Huna kitambiiiiiiiii bana hebu nithibitishie kama kipo ๐!Awapiii nina kitambi kwa sasa๐ฌ๐ฌ
Fundi mchundo senior ๐๐๐
Hahahah!! Likizo nakuja kulima babuuu like granny like grandouta!!Kwa jinsi navyopenda kulima ningekuwa huko saivi mngenikuta shambani ๐คช
Grandpa!๐คShikamoo Granny!
Habare ya saiiโ
Weeee kitambi wapiiiii mama katotoo ! Huna kitambiiiiiiiii bana hebu nithibitishw kama kipo ๐!
Wabheja sana msukuma mwenzio language nilifeliiiiiiiiii๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ!!Grandpa!
Toa emoji hio mjombaa unanitishaaa๐๐!
Uje na soda tam balaaMie pia nazipenda sana ๐๐๐๐
Awwwww๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐!!! Zinaonekana tu Tamuu kama mpishi mwenyewe!!!Uje na soda tam balaaView attachment 2364890
Dadekiii hapo na Mirinda ya baridiiiii๐Uje na soda tam balaaView attachment 2364890
Yaniiiiii acha kabisa!!Dadekiii hapo na Mirinda ya baridiiiii๐