Salama jiraniUmeamkaje jirani
Jirani umepoteaSalama jirani
Habari ya asubuhi Lenie ?Jirani umepotea
Salamu kwako pia mzee jirani. Ni matumaini yangu kuwa uko poa mkuuSalama za asubuhi kwenu..
Afadhali.πJirani umepotea
Kumbe nia yako ilikua umchokoze jirani yangu eeehπAfadhali.π
Leo myoyambendi lazima anune
Nimedandia treni kwa mbeleπ
Mimi nipo jirani
Tuna raha ya kufutwa tozo acha tulaleeMuamke nyie watu, mnalala had sahiv mna raha gan???
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Salama jirani, hujambo wewe..Umeamkaje jirani
Me niko poa kabisa jirani yanguSalama jirani, hujambo wewe..
Salama kabisa, unaendeleaje mkuu..Salamu kwako pia mzee jirani. Ni matumaini yangu kuwa uko poa mkuu
π πSalama jirani
Shwari kabisa..Jirani yake Lenie
Uko salama mkuu
Uwe na baraka tele jirani..Me niko poa kabisa jirani yangu
Mkuu nimepata wivu tuu unavyoitwa vzr jiraniiπππ π