Ni shida aisee!Sindano zake kali sana, ilibidi niingie gharama kutiwa na wageni kuepuka kusimwanga, maana nilikuwa mwenyewe najilaimu kosa la siku moja limeleta aibu, jamaa walichoma kasindano kadogo tu kamoja, then drip ( vile vidogo) ndani ya dk 10 kameisha, then kuna machine wakawa wana niweke kwenye kibofu hivi kama dk nne.. Kwa mda wa siku saba, ili wao kujirizisha ila ndani ya siku ya siku mbili ile hali ilipotea kabisa. Shida hii wao wanajua mlaji wa mizoga, kumbe wakati mwingine sio ila ndio ivyo huwezi jitetea πππ.. Kuna rafiki yangu tulikuwa nae chuo yeye alikuwa chronic hadi akawa anatembea na ka sindano ka kujidunga maana ilimla kisawa sawa
Bila kukosea,tupia kwanza vocha,Hii ya kwangu kabisa hii
π€ π€ π€ π€ Wanawake wengi wana vifurushi ila hawajui.Ni shida aisee!
Wabebaji wa maradhi haya asilimia kubwa ni Wanawake na bahati mbaya kwao kutokana na maumbile wanaweza kujikuta wanakaa nalo hata miezi 3 hadi Mwaka bila kujijua, wakati Mwanaume ni ndani ya siku Moja tu tayari amejua.
Nisije kufunguka sana Vijana wakapata maswali Kwa Babu yao hapa kwamba inakuwaje na Umri wote huu nikawa Mhanga, hawajui kuwa Ukiona Nyani Mzee ujue amekwepa mishale mingi π€Έπ€Έ
Leo nimechukua nondo za kutosha[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783] Wanawake wengi wana vifurushi ila hawajui.
Mie nina uhakika pale nilipo jiunga kifushi, Kwa macho unaingia kingi yule mrimbwende ni msafi na hata ndani msafi msomi. Nilipo jua nilifikiria nimuambie ila nikaona hapa nitaambiwa mie ndio nimempa yazuke mengine, nikapiga kimya.. Aendelee kuwaungisha bundle wengine.. Ila vijana sasa hivi hawana hofu na nina hisi kama magonjwa yame expire vile maana ukipita maeneo flani hali ni mbaya kweli kweli
Nondo kubwa ni kufunga zipu. Piga story ila zipu ifungwe. Maisha haya matamu sana kama afya yako ipo fit 100%.. Ikisha teteleka hata asilimia kadhaa maisha hutofurahia ipasavyo. Afya ni kila jambo. Hata hapa tunachapa story ila hakuna utekelezeji tunachotana akili tu, π€ π€ π€ π€ π€ kutokushiriki sex mkuu hupungukiwi chochote..
YaahNondo kubwa ni kufunga zipu. Piga story ila zipu ifungwe. Maisha haya matamu sana kama afya yako ipo fit 100%.. Ikisha teteleka hata asilimia kadhaa maisha hutofurahia ipasavyo. Afya ni kila jambo. Hata hapa tunachapa story ila hakuna utekelezeji tunachotana akili tu, [emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783] kutokushiriki sex mkuu hupungukiwi chochote..
Ungemueleza ukweli Mkuuπ€ π€ π€ π€ Wanawake wengi wana vifurushi ila hawajui.
Mie nina uhakika pale nilipo jiunga kifushi, Kwa macho unaingia kingi yule mrimbwende ni msafi na hata ndani msafi msomi. Nilipo jua nilifikiria nimuambie ila nikaona hapa nitaambiwa mie ndio nimempa yazuke mengine, nikapiga kimya.. Aendelee kuwaungisha bundle wengine.. Ila vijana sasa hivi hawana hofu na nina hisi kama magonjwa yame expire vile maana ukipita maeneo flani hali ni mbaya kweli kweli
Nilitamani sana kumueleza, ila niliwaza mengi sana.Ungemueleza ukweli Mkuu
Madhara ya kukaa na ugonjwa wa Gono na Kaswende ni kuja kumwambukiza mtoto ikiwa Mama ni mjamzito na kupelekea watoto Kuzaliwa na disorders za upofu n.k
Msalimie mzabzab ππEmbu mselfike loooh,gono kaswende kutishana tu[emoji16]
Niaje mkuuMsalimie mzabzab ππ
Kwema mzee, weekend nyumbani madogo wanasemajeNiaje mkuu
Nipo zangu guest leo nimekuja kushusha wadhungu na mrembo mmoja.Kwema mzee, weekend nyumbani madogo wanasemaje
π€ π€ π€ Na mawardat nini mzee.. Nipo nimemaliza kuwafulia madogo uniform, nasubiri tarifa ya habari ya bure hapa na msosiNipo zangu guest leo nimekuja kushusha wadhungu na mrembo mmoja.
Abee ππWachoyo wote hamtaingia mbinguni ujue[emoji28]
Weeeuhh chikopa πYou are missed too Mamii π
Vocha zako zote kachukua HannahBila kukosea,tupia kwanza vocha,
Nimefulia[emoji41]