Selfika na JF: Snap it. Show it

Mazee! Pole sana aisee, haya mambo yanahitaji kuwa makini sana. Kila mtu umwangalie kama SUSPECT.
Watu ni CARRIERS wa magonjwa ya ajabu kweli yani, tena wengine huwezi hata kuwategemea kabisa.
 
Nyie naomba niwaulize ,ikitokea mko marafiki A na B mtu ,A Ana bwana ake,akatongoza B Ila akakataa kulinda heshima ya urafiki na hakusema ,chochote pia kuhofia mahusiano yao yasife,then wewe unaendelea na ukaribu wako na wote wawili,at last A akajua kua mpenzi wake anatongoza B,akiambiwa na mtu mwingine kabisaa...
Shoga anavunja urafiki na B ,kisa bwana ake katongoza B hakusema.
Je B alikua sahihi kutosema kua shemeji anamtongoza?Na A Yuko sahihi kukata urafiki pia?
Hebu naomba mawazo yenu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Imekukuta nini

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Mazee! Pole sana aisee, haya mambo yanahitaji kuwa makini sana. Kila mtu umwangalie kama SUSPECT.
Watu ni CARRIERS wa magonjwa ya ajabu kweli yani, tena wengine huwezi hata kuwategemea kabisa.
Shida ya hili, lina jificha vibaya sana kwa wadada. Nilichoshukuru mwili wangu kuwa active, nafikiri haikupita hata masaa matano mwili uka react.. Tokea hapo siingii kingi aisee.. Kila mtu nikiona naona kama analo na hata kupeana mikono na watu kizembe nimeacha.. Hadi nimpe mtu mkono wangu nime muheshimu sana 🀠🀠
 
Dah mapito waga yana fundisha sana

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Acha kabisa, huo ugonjwa ni wa aibu kabisa. Kwanza unafanya ukosefu utulivu mwilini pili matibabu yake kama unakomolewaa 🀠🀠🀠.. Wakati ndio unatibiwa.
Bora miaka ya hivi karibuni Gono au Kaswende zinatibika kirahisi.

Miaka ya 80' kabla mgonjwa wa kwanza wa HIV kugundulika kule Bukoba, Hizo Gono na Kaswende ndiyo yalikuwa habari ya Mjini. Na matibabu yake ndiyo ilikuwa shida zaidi manake Ilikuwa wanatumia zile Sindano kubwa kubwa hivi ambazo ukichomwa Sindano Moja unajikuta unaugulia maumivu Wiki nzima.

Kama ulivyosema hayo magonjwa yamekuwa ni ya aibu sana miaka ya hivi karibuni, manake unakuta hata Nesi mwenyewe anayekuchoma Sindano ana kusema kuwa unaendekeza Dry huku akishindilia Sindano nzito nzito kwenye mwili πŸ™†

Vijana wahimizwe kuhusu ngono salama
 
Kweli

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Sindano zake kali sana, ilibidi niingie gharama kutiwa na wageni kuepuka kusimwanga, maana nilikuwa mwenyewe najilaimu kosa la siku moja limeleta aibu, jamaa walichoma kasindano kadogo tu kamoja, then drip ( vile vidogo) ndani ya dk 10 kameisha, then kuna machine wakawa wana niweke kwenye kibofu hivi kama dk nne.. Kwa mda wa siku saba, ili wao kujirizisha ila ndani ya siku ya siku mbili ile hali ilipotea kabisa. Shida hii wao wanajua mlaji wa mizoga, kumbe wakati mwingine sio ila ndio ivyo huwezi jitetea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. Kuna rafiki yangu tulikuwa nae chuo yeye alikuwa chronic hadi akawa anatembea na ka sindano ka kujidunga maana ilimla kisawa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…