Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwanzo 3:16
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.


Imeandikwa wapi


Mwanzo 3:17
Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;

Mwanzo 3:18
michongoma na miiba itakuzalia, nawe utakula mboga za kondeni;

Mwanzo 3:19
kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.
 
Mko deep
 
Gafla tu macho yametua hapo kwenye zipu
 
I mis you more.....
 
Hakii Anne siasa zako meshindikana πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!! Hebu Ibariki Jioni yangu pullliiiiiiizzzz ubuyu bado sijapata naisubiria hebu anza nahio naked bamaa acha janja janja zakoo Anne
Utamhadithia Capteni kuwa
ile picha aliyoomba nipunguze emoji,nilipunguzaa emoj,nikaweka sura langu Pana kama sahaniπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…