Una hizo tabia nini? Kufatilia X anafanya nini currently? Kama unazo uache ni ushamba didi ππ
Ushamba mbaya kama huo nikijua unafanya nitakutandika π€£π€£π€£
Carrasco putin hongera kwa kuachwa πππ na pole kwa maumivu yatokanayo na muacho.
Mfute eee? Ukiacha uendelee kumuona utapata kiherehere cha kuendelea kumfatilia. Na ukifanya hivyo utachakaa kisaikolojia π