Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,571
- 235,411
ChaaaaππππππππSasa mimi ni ngumi mkononi!! Siongei sana ila nina mkono mwepesi na hasira balaaa! Ukinikasirisha usiwe karibu yangu aseeh nikikushika nakumaliza kwa hasira!
Yaan tupo calm tuπNa Wala haturingi yaaniπ₯°
Nikikukamata Lazima nikuachie alama!Chaaaaππππππππ
Naona leo umeweka uswahili pembeni.Kaitafute
Kwanini π€£ππ€£π€ΈββοΈNaona leo umeweka uswahili pembeni.
Unadhani ni Lesbos?Hawa dadaz mapozi Yao
Mimi nguvu sinaNikikukamatabLazima nikuachie alama!
HapanaUnadhani ni Lesbos?
Kama kawaida yetuYaan tupo calm tuπ
WachapeHapana
Ila kama watumishi wa Bwana,pozi lao Hilo kuweka kwenye picha ya tangazo la mountain sijaipenda.
Watu wa mjini Facebook wanawachapa na reactions zaoWachape
This time CAFCL tunaenda finalKama kawaida yetu
Mbele daima nyuma kwetu mwikoππππThis time CAFCL tunaenda final
Amen!!!!!πππππ Tuseme Amen. Leo umeniombea dua njema kabisaa..
[emoji3526][emoji1493][emoji38][emoji38][emoji16]ndo watu wapole walivyoo!!!ngumi mkononi!!![emoji16][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sasa mimi ni ngumi mkononi!! Siongei sana ila nina mkono mwepesi na hasira balaaa! Ukinikasirisha usiwe karibu yangu aseeh nikikushika nakumaliza kwa hasira!
πππ Nitakuwa dereva wako kabisaa..Amen!!!!!ππ
Usije tu ukaninyima lift π
Yani nilivyoyanywa kwa pupa...ingekuwa hiyo ya kijani ningekuwa π₯΄π₯΄π₯΄πNa mie maji ππ na ile chupa ya kijani
Ntaruhusiwa kupiga βplaylist yangu??βΊοΈβΊοΈβΊοΈπππ Nitakuwa dereva wako kabisaa..