Selfika na JF: Snap it. Show it

🀣🀣🀣🀣 Usijareee ✌️✌️Ticha umepata babuu akee tena ticha wa theory na practical ! Kazi kwakoo Jiandae tyu .. in cocas voice 🀣🀣
Nikijua kusoma na Kuandika tu 2025 nakwenda kuchukua fomu ya Kugombea Ile nafasi ya Juu, then nitakufanya Waziri wa Elimu ya Watu Wazima 🀸🀸
 
Nikijua kusoma na Kuandika tu 2025 nakwenda kuchukua fomu ya Kugombea Ile nafasi ya Juu, then nitakufanya Waziri wa Elimu ya Watu Wazima 🀸🀸
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee!! Nilivo na juhudi ili madogo wafaulu Hakyanani sikubareeee!! Nitafanya juu chini walai Uwazirii nimepata mbonaa iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€Έ!!
 
Hawa huwa ni wahubiri au wanasaikolojia?
Siku hizi mahubiri mengi (kama unaweza kuyaita mahubiri) yameegemea sana kwenye ishu za kijamii - ndoa, mahusiano, utajiri na mipasho. Ukihubiri juu ya watu kuacha dhambi na kusimama katika kweli na utauwa utakimbiwa. Na jamaa wanajua kweli kucheza na akili za waumini wao. Huoni akina Daniel Mgogo wamekuwa mashuhuri kwa mipasho tu na comedy madhabahuni?

Ni injili ya Kisasa hii. Pesa! πŸ™πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…