Selfika na JF: Snap it. Show it

Braza ondoa hako kadude machoni kanapofusha macho
🀠🀠🀠 Yanaweza yakawa majanga kwa kanjibai mkuu... Huenda humu nishatukana hata mabosi zangu.. Acha wabaki wana hisi hisi ila wasiwe na uhakjka maana kesho napiga kipara cha unga na ndevu zote kutoa.. Nahamisha maboya
 
Tunajiandaa kutoka shangazi 🀠🀠🀠 baada ya kuhitimisha cha tisa View attachment 2353760
Safiii sanaaaa mjombaaa!!! Fanyeni kutoka kidogo mbadilishe mazingira na kupata nguvu mpya mjomba wangu! Ilaa Atatembea huyo leo kweli ulisema tangu usiku vilee mjomba eeh!!??πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Safiii sanaaaa mjombaaa!!! Fanyeni kutoka kidogo mbadilishe mazingira na kupata nguvu mpya mjomba wangu! Ilaa Atatembea yuko leo kweli ulisema tangu usiku vilee mjomba eeh!!??πŸ€”πŸ€”πŸ€”
🀠🀠🀠 Vitatu shangazi ndio maana vimekuwa tisa, that day nilikuwa na sita πŸ€“πŸ€“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…