Nimeonaa mikono nikajuaa !! Ila jitahidi usiruhusu tumbo dear!! Nenepa kote ila sio tumboNilienda kwa wakwe ni mwendo wa supu sikutakiwa kusogeza hata kikombe😁😁nimefutuka kama silei Junio
Tumbo sio sana sema mapaja yaani nikitembea nachubuka nikipata dada wa kukaa na Junia naaza mazoezi InshaalahNimeonaa mikono nikajuaa !! Ila jitahidi usiruhusu tumbo dear!! Nenepa kote ila sio tumbo
Ulikoahirisha janaNilishtua engine
Kwenda wapi tena 🤣🤣
Darling kasema siku nyingine madamAfanye akuwekee hata wewe tu kipenzi chake jamanee Tinsley usimfanyie hivo darling sweet boss ako!!
Mimi najitolea kukaa na juniaTumbo sio sana sema mapaja yaani nikitembea nachubuka nikipata dada wa kukaa na Junia naaza mazoezi Inshaalah
Utamuweza kweli ana fujo na anapenda kulia😁Mimi najitolea kukaa na junia
Ahaa nilisahau mr vocha haya nasubiria msiache kunitagDarling kasema siku nyingine madam
and tudei we did like yestadeiUlikoahirisha jana
Em usijisahaulishe🤣
Naelewaa .. Uvae tight ndani walau inapunguza yale maumivu ya michubuko ya mapaja kugusana ukitembea tofauti na hapo halooo unaumia balaa!Tumbo sio sana sema mapaja yaani nikitembea nachubuka nikipata dada wa kukaa na Junia naaza mazoezi Inshaalah
😁😁 hongera jiraniNilienda kwa wakwe ni mwendo wa supu sikutakiwa kusogeza hata kikombe😁😁nimefutuka kama silei Junio
Jirani Pole..and tudei we did like yestadei
Niko bored 😑
Najitune na city hunter 🎥
Just bored, nothing to do
Haijapoa jirani… nimemmiss babe wangu,, mkimuona mumsalimie 😁Jirani Pole..
Jirani, huko chuga kumuona itakuwa shida...Haijapoa jirani… nimemmiss babe wangu,, mkimuona mumsalimie 😁
Why jirani?Jirani, huko chuga kumuona itakuwa shida...
Oaah! Shida shida ndogo za kukunyonya mwili zaondokaNajaribu mzee nafeli. Nipe tips mzee.
Jiji kubwa hilo..Why jirani?
Hahahaa yaani weweeeand tudei we did like yestadei
Niko bored 😑
Najitune na city hunter 🎥
Just bored, nothing to do
Mwanaume unakuwaje mnene aiseeNenepa kidogo brother 🤠🤠
Nani anatakiwa kunenepa?Mwanaume unakuwaje mnene aisee
Siendi nje ya gateHahahaa yaani weweee
Pole jaman, bora ungejitoa ukarefresh ungekua poa