Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Aisee, ni sawa, ni vyema kula ule wakati unahisi njaa, kula kula hovyo si vizuri, au kula kukamilisha ratiba ya mlo kwa siku chai, lunch, dinner/supper , si lazima ule milo mitatu per day... we tafuta supper yako siku imeishaπππ Huu ndio chakula sasaa, sikuwa nimekula toka asubuhi nimeshinda kitandani.. Umefanya niamke hapa nisake chochote kitu
Hapo limekosekana parachichi tu[emoji39][emoji39]View attachment 2350501
Karibu finger lickin kande...
Wanyaki banaHapo limekosekana parachichi tu[emoji39][emoji39]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kwa leo inatosha mdogo wangu tusindikize wewe sasa!!
Mwee[emoji3064]Kwa leo inatosha mdogo wangu tusindikize wewe sasa!!
Kule kwetu Ileje Parachichi ni kama pie.Wanyaki bana
Nyakyusa Nyakyusani, kitu cha katapela π πHapo limekosekana parachichi tu[emoji39][emoji39]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Niliweka mchana huko itafute utaiona!
[emoji3064][emoji3064][emoji3064]Niliweka mchana huko itafute utaiona!
TakapelaNyakyusa Nyakyusani, kitu cha katapela [emoji23] [emoji23]
Nasubiria hapa mdogo wangu nifanyie wepesi hata utege tu basi! π
Nasikia watoto wa kinyakyusa huwadanganyi kwa chips π π πTakapela
Ukuchanganyia humo unahisi dunia yote yako .
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kuna Hadi chipsi za mia2 .Nasikia watoto wa kinyakyusa huwadanganyi kwa chips [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Njoo unione kwanza huku nilipoSawa nitumie picha yako basi jaman nitakusahau bure [emoji55][emoji55
MweeNasubiria hapa mdogo wangu nifanyie wepesi hata utege tu basi! [emoji6]
Ndio bado sijasinzia Vizuri nifanyie wepesi nisinzie Vizuri sasa!
tununu?Kuna Hadi chipsi za mia2 .
Viazi vvimetapakaa wakati wa mavuno debe elfu3.
Ila Mimi napenda chips.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tupia shepu lile ya jumla[emoji3059][emoji3059]Ndio bado sijasinzia Vizuri nifanyie wepesi nisinzie Vizuri sasa!
Upo wapi nije chapuNjoo unione kwanza huku nilipo