Furahi tu mjomba wangu maisha ndio hayahaya!!βοΈShangazi usijali si unajua mjomba wako ukimfurahisha anachangaamkaaa ππππ
Ila jambo letu lipo pale paleπ€ π€ π€ .. Acha nilale shangazi..Furahi tu mjomba wangu maisha ndio hayahaya!!βοΈ
Mkichagua saree wee nijuze mapema tu niandae mtroko mmoja mattatta sana mjomba!! Mie treinaaaaaaaaaahhh tuko pamoja mjomba πβοΈβοΈIla jambo letu lipo pale paleπ€ π€ π€ .. Acha nilale shangazi..
Weweee shangazi usinifanyie hivyo naja, nipo njiani π€ π€ π€Mkichagua saree wee nijuze mapema tu niandae mtroko mmoja mattatta sana mjomba!! Mie treinaaaaaaaaaahhh tuko pamoja mjomba πβοΈβοΈ
Kuja wapi trena mjomba acha utani walaiπ³π³π³π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄!!Weweee shangazi usinifanyie hivyo naja, nipo njiani π€ π€ π€
Ohooo andaa kachumba ka mgeni hata ka uwani kule π€ π€ π€ uliniambie nije kulinda shamba serious ππππ na msosi pia niandalie tu mie mjomba wako a. K. A mgenjKuja wapi trena mjomba acha utani walaiπ³π³π³π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄!!
Chuma ya kung'olea bebiShemasi [emoji959][emoji959]View attachment 2350178
Hizi nyimbo zilikuwa zinapigwa na mzee kila asubuhi wakati anajiandaa kwenda kazini.....Music ni kifaa kizuri sana cha kutunza kumbukumbu na kutukumbusha kumbukumbu ili zitunza
πππ..
Kumbu kumbu nzuri sana hii. Kupitia music unaona mahala umetokea..Hizi nyimbo zilikuwa zinapigwa na mzee kila asubuhi wakati anajiandaa kwenda kazini.....
Hapo mimi niko shule ya msingi aisee......
Daaah, bahati mbaya sana zile siku haziwezi kurudi tena mazee......Kumbu kumbu nzuri sana hii. Kupitia music unaona mahala umetokea..
Nilikwambia ntakujulisha mjomba tulia kwanza sasa!Ohooo andaa kachumba ka mgeni hata ka uwani kule π€ π€ π€ uliniambie nije kulinda shamba serious ππππ na msosi pia niandalie tu mie mjomba wako a. K. A mgenj
Ohoo mie ndio nipo njiani π€ π€ π€ ..Nilikwambia ntakujulisha mjomba tulia kwanza sasa!
Hapo unafelii pakubwa mjombaaaa!! Fanya urudi kwanza ntakuita mjomba!!Ohoo mie ndio nipo njiani π€ π€ π€ ..
Sure, siku zinasonga. Maisha yanabadirika. Hapa imekuja picha ya mzee kitambo alikuwa kitoka dar na safari buti zake.. Ananiletea kahawa tunakaa tunachapa kahawa yetu pale safii πππDaaah, bahati mbaya sana zile siku haziwezi kurudi tena mazee......
πππ Ntarudi kesho nimechoka na safari sasaHapo unafelii pakubwa mjombaaaa!! Fanya urudi kwanza ntakuita mjomba!!
Uko sahihi kabisa jirani...Nafanyia kazi.Fanya Unitafutie mtu mzima asie na mapepe sasa jirani nakupa hio kazi rasmi!