Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna mapya gani? Hii week niko busy hadi najihurumia ๐Ÿ˜ข nachoka mno, nikifika home nikila, nikijiegesha tu nimeenda na usingizi ๐Ÿคฃ


Shemeji BK unanikana
Mapya hamna, tozo tu kila kona
Nakumiss tu mie
Yaani pilika pilika zinachosha mwili balaa na ndio kwanza j5

Weeee aku usinisingizie๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Naona umejichokea hasa๐Ÿ˜‚
 
Mapya hamna, tozo tu kila kona
Nakumiss tu mie
Yaani pilika pilika zinachosha mwili balaa na ndio kwanza j5

Weeee aku usinisingizie๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Naona umejichokea hasa๐Ÿ˜‚

Nikiwa mkubwa
Nitakuwa mjasiliamali
Niamke saa 4 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nikaangalie kijana wa dukani anaendeleaje ๐Ÿ˜‹


Mambo ni mengi muda hautoshii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ