Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu na mabebi zenu mnaingia discusheni 🤠🤠🤠 kujadili mapenzeeee
Babe wangu hata Hayupo humu mjomba mapenze yana wenyeweee sio mieee!!
Leo sitii neno ntakua msomaji tu mie mjomba ! Huwa natamani tu kumsikia make yupo kimya sana humu kuhusu malovee sijawahi msikia mr Vocha akiyazungumzia kabisa mapenzee so leo mekua surprised na kutamani kumsikia kwa hamuu
Diskasheni njema mjomba!✌️✌️
 
Sauwaaasaauuuuwwwaaaaa
📝📝📝!
🙇🙇 naendelea kuwasikiliza kwa umakini sana
 
Shikamoo madam boss lady
Umeamkaje leo?
Nilitaka kushusha darasa heavy hapa ila ndiyo nimeshazuiliwa, jana nilikua na mishe mishe kibao niliukosa mjadala
Shikamoo unataka kuninyima nini wee mr Vocha???😉😉!! Shikamoo mwenyewe 🤣🤣🤣🤣!!
Shusha nondo nasie tuone maproblee yetu buana nawewe unapenda dada zako ndoa zitushinde tuachike mr Vocha??
Tena wewe natamani kweri kweri nikusikie ukizungumzia mahusiano sijui kwanini 😜

Shusha mapointtttsssss nipo hapa kunote 🙇🙇🙇📝📝📝
 
Mwanamke jukumu lake sio kupenda, mwanamke jukumu lake ni Utii, utao zaa wivu. Ukiona mwanamke analeta swaga za kukupenda na utii zuri kaa nae pembeni haraka
Weee kumbe!!!🤔🤔
Sawaa mjomba nitaanza kutii walai ujute ndiomana naachika mimiii😉🤭🤭!! ila hapo kwa wivu hapoo hapafaii mjomba! Wivu ni kidonda ukiushuriki utakondaaa!
Wivu ni hatari kwa afya ya mahusiano mjomba!!

Point#3 noted📝
 
Na mwanaume ukiona hakupendi ( hana alama za upendo hana hofu ya Mungu) kaa nae mbele utauponza 🤠🤠🤠🤠. Mwanaume ni leader anacho mlisha na kufanya mwanamke akiishi anatakiwa akifute pia, maana hatakiwi ku mkontrol
#5📝
"pia hatakiwi kumkontrol ila mwanamke ajishushe amtii"
mwisho wa kunukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…