Selfika na JF: Snap it. Show it

Nasindikiza na quote mie Madam 😂

"Love does not begin and end the way we seem to think it does. Love is a battle, love is a war; love is a growing up.” – James Baldwin
Hapo kwenye battle aisee
Hakuna wakati mchungu kama watu mkitofautiana kidogo..
Mimi nakondaga Kwa masaa machache tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…