Gesi imeisha
Trei ya mayai yamebak 6
Unit za umeme zimebak 8
Naogopa kupika kwenye pressure cooker
Fridge siwashi mpka ifike trh 23 nitakuwa nimeuza hili fridge

Nifundishe kupika tambi jaman kuna mtu alikuja home hapa nikaona anapika tambi kwenye flampen kaweka hoho karoti viungo kama vyote zilikuwa tamu balaa wakati mm tambi napika naweka maji naziweka humo maji yakiisha nakula