Baba yangu aliwah nambia ,Usije thubutu kumuacha mkeo kwa sababu zako binafsi , ukaoa mke mwingine, na usije thubutu Kumuongezea Mkeo ,Mke wa pili. Kiukweli wakuu, kama mtatoa muda wa kutafakar sanaaaa Baadhi ya Vifo vya wanaume wengi hapa Dunian hususan Tanzania Yetu,, Vifo vingi sana vya...