Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Waooo congrats May God bless you today on your birthday and every day after. May you be comforted by His presence in your life, and always follow His guiding light. [emoji176][emoji873][emoji873][emoji166][emoji322][emoji323][emoji321][emoji320]
English course yako ilikua vizureee!! Umejitahidi kuunga unga sentensi👏👏
 
Natumai siku yako ya kuzaliwa ni ya baraka, furaha, amani na upendo unaoridhisha roho. Mwaka mwingine pia ni mwaka mwingine wa kujifunza kuomba, kupenda na kuhisi happy birthday Tinsley keki wapi [emoji320][emoji321][emoji323][emoji322][emoji166]
Asante Sana ndugu ,ubarikiwe mingi mingi . ❤️
Keki haipo fanya kuniwezesha Boss kubwa
 
Today, I just want to thank God for adding another year to my life.
Furaha ya kuzaliwa mpendwa! Ninakuombea maisha marefu, mafanikio, mafanikio na mafanikio makubwa.kuzaliwa kwako kumefunikwa na baraka za Mungu. [emoji322][emoji166][emoji323][emoji321]
Tuma picha basi pm
 
Natumai siku yako ya kuzaliwa ni ya baraka, furaha, amani na upendo unaoridhisha roho. Mwaka mwingine pia ni mwaka mwingine wa kujifunza kuomba, kupenda na kuhisi happy birthday Tinsley keki wapi [emoji320][emoji321][emoji323][emoji322][emoji166]
Asante kwa maneno ya faraja siku hii ya leo .

Nakupa mstari huu katika kitabu Cha Zaburi

Zaburi 121:7-8 BHN​

Mwenyezi-Mungu atakukinga na baya lolote; atayalinda salama maisha yako. Mwenyezi-Mungu atakulinda katika shughuli zako zote tangu sasa na hata milele.
 
Sawa usijal rafiki
Ila happy birthday bila kwichikwichi ni Sawa na mei mosi tu [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Furaha ya kuzaliwa mpendwa! Ninakuombea maisha marefu, mafanikio, mafanikio na mafanikio makubwa.kuzaliwa kwako kumefunikwa na baraka za Mungu. [emoji322][emoji166][emoji323][emoji321]
Tuma picha basi pm
Thank you Putin
I'm grateful for your good wishes,

Sina picha mpya sasa
 
Back
Top Bottom