Angetoa basi taarifa tujue hatakua hewani.Si ni mtoko lakini? Halafu ndo mambo gani hayo ya kumuweka rafiki yako roho juu juu?
Kikoti cha sensa🤣🤣🤣My country pipo [emoji91][emoji23]
View attachment 2342997View attachment 2342999View attachment 2343000View attachment 2343001View attachment 2343002
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa taarifa muhimu. Usingizi utoke wapi kwa mfano? Depal uwe unatoa taarifa embu. Umpunguzie rafiki yako taharukiAngetoa basi taarifa tujue hatakua hewani.
Hata ingekua ni wewe rafiki yako apotee ghafla af ni baada ya kupost picha yuko njiani ungepataje usingz kwa mfano.
Na saivi watu kila kona wanatekwa
Daah. Kama naona weekend yako unavyoianza kinyonge.Voda wameniambia hawajapokea pesa hiyo, so niwarudie crdb…
Crdb wananiambia nisubiri masaa 48
Jamanii nimekwazikaaaaa
Anajishaua huyo 🤣🤣 angenitaka si angepiga simuSi ni mtoko lakini? Halafu ndo mambo gani hayo ya kumuweka rafiki yako roho juu juu?
Mm huyo🤣wakat shavu linaokota njuguMzee eti eeh? Hivyo vidole nikiangalia skin tone vinaonyesha kbs wewe ni mtoto wa miaka 20-23
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Miscommunication yote hiyo inatokana na kukosa taarifa ujueAnajishaua huyo 🤣🤣 angenitaka si angepiga simu
Nimeshidwa kufoka crdbDaah. Kama naona weekend yako unavyoianza kinyonge.
Wasikilizie hayo masaa 48 tu
BwanaaaMiscommunication yote hiyo inatokana na kukosa taarifa ujue
Asante sana Carlos Tevez kwa kutambua hilo.Kweli kabisa taarifa muhimu. Usingizi utoke wapi kwa mfano? Depal uwe unatoa taarifa embu. Umpunguzie rafiki yako taharuki
Nitarudia tenaAsante sana Carlos Tevez kwa kutambua hilo.
Natumai hatarudia tena
Kuna mada hapo juu. Mdau wa chuga amesema mnalalaga na makoti makubwa kama majambazi😂😂. Vp kuna ukweli wowote kwenye hilo?Bwanaaa
Me nilikuwa nje ya mji
Hamna network
Nimerudi nimechoka
Nikalala
Hata mimi Ni matumaini yangu kuwa hatarudia tena kwa kweliAsante sana Carlos Tevez kwa kutambua hilo.
Natumai hatarudia tena
Waambieni wanunue blanketsKuna mada hapo juu. Mdau wa chuga amesema mnalalaga na makoti makubwa kama majambazi😂😂. Vp **** ukweli wowote kwenye hilo?
Huwezi amini siku una uhitaji wala hawatupiiWale sponsors wa vocha wako wapii 🤣🤣
Wajeee
Leo nitagombania haswaaa
Masaa 48 ya crdb ni mengi sanaa
Tupia wewe basiHuwezi amini siku una uhitaji wala hawatupii
Ndio, mwambie huyoMiscommunication yote hiyo inatokana na kukosa taarifa ujue
Kwa leo niko apeche mm nitatupia siku ingine. Na nina uhakika hiyo siku hautakuwa na uhitaji. Sema nini salimia watu mjini. Wewe ni wa kuhangaika vocha na Lenie Yupo?Tupia wewe basi