National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
acha apambane ndio uanaume πππ washa π₯π₯π₯ zaidiNipumzike kidogo?? π
Usiwaze dear!Ukisuka naomba kuona
Asubutuuu[emoji28] usifanye moyo wako kua mgumu bana
Nipo njianiππΏππΏππΏππΏ
National Anthem habari za miaka mkuu?
Salama kabisa mkuu.. acha nisogee nikale msosi safii ... karibu mkuuNational Anthem habari za miaka mkuu?
Eti mchumba tumerudiana? Saint AnneKwamba mmerudiana?
Kwa kinyakyusa ndio mnaita majabhu au nimekosea?
Kwahiyo umeniacha? π π πBasi tena
Asante mkuuMjengo wa uhakika. Hongera mkuu.
Nimeona wallet tu hapoπ
Inabidi [emoji28]Kwahiyo umeniacha? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nigawie vidole hivo
National Anthem habari za masiku? mnatunyima nini huko?, familia na watoto? tozo vipi zinaendelea?, aisee ni miaka mingi tumepotezana...
Njoo uchkueπNigawie vidole hivo