Hey! Acha jamanii watu wakuonee wivuu tajiri mwenye hotel yake zenji. Forever young! Una inspire vijana wengi wakike wajitume na kutafta vya kwao! Mpambanaji nakubali sana.
Wow! Shingo nyororo lainii miguu na mikono haina sugu na wala hutumii mkorogo! Watajiua kwa wivu huu mwaka asantee narudia tena asantee! Tajiri usiye na maneno mengi mwenye hela ila huna makuu! ππ₯β€οΈ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hey! Acha jamanii watu wakuonee wivuu tajiri mwenye hotel yake zenji. Forever young! Una inspire vijana wengi wakike wajitume na kutafta vya kwao! Mpambanaji nakubali sana.
βΊοΈβΊοΈβΊοΈWow! Shingo nyororo lainii miguu na mikono haina sugu na wala hutumii mkorogo! Watajiua kwa wivu huu mwaka asantee narudia tena asantee! Tajiri usiye na maneno mengi mwenye hela ila huna makuu! ππ₯β€οΈ
Hilo weaving sio la kariakoo hilo ni imported kabisaaa kutoka Paris ufaransa. Bei yake tuu ni mshahara wa karani wa sensa. Huna mpinzani mzungu wa roho unayejua kutafta pesa kihalali na kuzitumia kihalali ππβ€οΈπβΊοΈβΊοΈβΊοΈ
Itabidi tumfanyie usaili kwanza πππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Sio kwa sifa hizo ππ
National Anthem huoni kama Poker Anafaa kuwa Marketing βManager wetu?? π€π€
Unamuua Poker wa watu ππ sasa akisikia harufu yako ya marashi ile ya asili ndio atakuwa crazy ππ
Yalaaa! Ntauza nyumba ya urithi kabisaaa na jinsi namkubali na mapigo yake kahawa kidogo, milkshake kwa mbali alafu anajitunza hazeeki. Havai feki yeye ni original vitu vya Paris na Milan! π€β€οΈUnamuua Poker wa watu ππ sasa akisikia harufu yako ya marashi ile ya asili ndio atakuwa crazy ππ
ππππ haya kila kheri ... zetu dua tuYalaaa! Ntauza nyumba ya urithi kabisaaa na jinsi namkubali na mapigo yake kahawa kidogo, milkshake kwa mbali alafu anajitunza hazeeki. Havai feki yeye ni original vitu vya Paris na Milan! π€β€οΈ
πππππππHilo weaving sio la kariakoo hilo ni imported kabisaaa kutoka Paris ufaransa. Bei yake tuu ni mshahara wa karani wa sensa. Huna mpinzani mzungu wa roho unayejua kutafta pesa kihalali na kuzitumia kihalali ππβ€οΈπ
πππ Watoto hawakuogopa na kukimbia!πππππππ
Wasikusikie makarani wa sensa!!!ππ
Alafu haya mawigi inabidi niwaachie wenyewe maana juzi nilikuwa naendesha go-kart na watoto likatoka ππ
Ya lunch.....???Lizzy ya nini hii πππView attachment 2335614
na ππYa lunch.....???View attachment 2335623
Walikuwa hawana pa kukimbilia π€£π€£π€£π€£πππ Watoto hawakuogopa na kukimbia!