Sawa Madam ukitupia Naomba uniite!! Nipoo likizo tupo tunanyang'anyana simu na junia tu hapa!!Za tabia zipo dear. Ngoja nijifotoe muone tabia njema.
Ulipotea jamani.
Siasa umeanza lini mjomba lakini!!π€π€ππππ sipo eneo rafiki shangazi, picha haziruhusiwi nacheza kamali π€£π€£
Nitaachaje?Utakuwa mwenyeji wangu?
Nipo hapa kwa chini kidogo penye mti mkubwaa ππJamani jamani jamani[emoji39][emoji39]
Kwani upo maeneo gani dyadya
Shangazi niamini π€£π€£π€£ nimekuwa muathirika wa kamali, uniombee nitoke hukuSiasa umeanza lini mjomba lakini!!π€π€π
π€£π€£π€£π€£Unaona shangazi yangu, sina picha labda badae akija mtu aniphotoe ππView attachment 2335400
Kimejaaa tele π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hiko kimbuzi kinaniacha hoi
Umefuta picha zote hiko umekiacha π€£π€£Kimejaaa tele π€£π€£
OMW....Lizzy uje basi ππView attachment 2335533
Umependezaaaπ₯π₯π₯, tayari nimeweka order yako ππ