Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,845
- 16,094
Embu nitengenezee mkeka hapo unampa nani na nani nataka niweke 20kVile Magwaya atakavyoingia 1st Eleven yetuView attachment 2331227
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Embu nitengenezee mkeka hapo unampa nani na nani nataka niweke 20kVile Magwaya atakavyoingia 1st Eleven yetuView attachment 2331227
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Junia anakusalimia Auntie
Timu zote zitadraw ila sijui kwa goli ngapiEmbu nitengenezee mkeka hapo unampa nani na nani nataka niweke 20kView attachment 2331299
Ona unazinduka sasahivi ushapishana na picha zote🤣
Ebu tumuone...Junia anakusalimia Auntie
Hana vochaEbu tumuone...
Hamna droo hapo man u anakuda fenerbece anashinda juve anashindaTimu zote zitadraw ila sijui kwa goli ngapi
Jamni nimemiss Junia🥰Junia anakusalimia Auntie
Junia kiboko😁😁Hana vocha
Hawanaga bahati😂😂Ona unazinduka sasahivi ushapishana na picha zote🤣
Wasukuma bhana😂😂😂😂
Mama Junia nifundishe kubet 😂😂😂Timu zote zitadraw ila sijui kwa goli ngapi
Ukiwa shabiki wa Liver kubet unajua automatic😁😁Mama Junia nifundishe kubet 😂😂😂
😂😂😂Liver kuku hapanaUkiwa shabiki wa Liver kubet unajua automatic😁😁
Wewe unashabikia timu gani aunt, usinambie man u maana leo anafundishwa adabu😂😂😂Liver kuku hapana
Kesho natupia ya kuhesabia sensa.Karani umekata sanaaaaaa
Ebu weka ya kuhesabia sensa boss wangu
Asante, sophy.Umependeza kiatu Cha harusi nishapata
nasubir bwana harusi Sasa
Itarudiwa mida ileeee ya naked selfie hakikisha unakuwepoKesho natupia ya kuhesabia sensa.
Nimeikosa yako. Kama vipi irudiwee
Mjep fanya Mambo baasiItarudiwa mida ileeee ya naked selfie hakikisha unakuwepo