Uiuuhh aii mama jamani mbona we mzuri hivyooo?
Uuuh aii mama unavyoringa sasa sio shida zako hizo..
Uuuh aiii mama jamani mbona we mzuri hivyo?
Uuuh aiii mama nakusifia ringa, vimba bichwa kama pulizo ππ
Ukicheka.. mzuriii
Ukinuna⦠mzuriii
Lenie
Ukiringa.. mzuriii