Mhhhh
Hakawezi kukosekana hata ka zamani
Ila mida mnayorudi hii nyinyi wapotevu ni balaa
Mimi mzima wa afya nimefurahi kukuona tena hapa, bila shaka wewe pia ulikua salama huko ulikofichwa mzungu wetu
Antonnia pamoja na kumkabidhi kibanda cha vocha lkn kanimwaga hadharani 😁😁
Kaka yako Carrasco putin akanambia niendelee kuvuta subira hadi uachike naamini sasa utakua umeachika kwa mumeo ili nifaidi mema ya nchi