Nilishakuambia sijawahi pata na haitotokea kupata[emoji23]Umekosa tena ila watu wana mambo za ajabu [emoji20]
Duh ulivo mrembo na dimples zako hadi huruma imenijia! Mantah hofu kesho ntakusurprise mawardat mremboo! 😍😘💕❤️Nilishakuambia sijawahi pata na haitotokea kupata[emoji23]
Tena hapa nampa dogo aingize kwa simu yake[emoji23][emoji23]kaniambia nisimshirikishe tena.
Dogo kamuona mwamba kakaa kitandani kamgeuzia mgongo[emoji23][emoji23],,,,,,dogo anaonaWe.....
Umewaona?
Toa shaka na wasiwasi moyoni kesho I'll make you proud! 😘😍Nianze kufrahi eti eeeh[emoji1437]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Toa shaka na wasiwasi moyoni kesho I'll make you proud! [emoji8][emoji7]
Hizi ni vocha kweli ???Selfika na #tigo#
*104*590931090174349#
Wewe sikufahamu, ndiyo nakuona leo hii humu....Hellow selfika hope nyoote humu mko poa
Nimepita kuwasalimieni ndugu zangu❤️
Afadhali umekuja😀😀kama kweli vile
Salama mkuu habari ya uzimaWewe sikufahamu, ndiyo nakuona leo hii humu....
Habari yako lakini...
Sina hata kaselfie leooAfadhali umekuja
Ebu anza na sekfie kwanza mchumba
Niko powa kabisa mkuu, hii ID yako ndiyo naiona leo aisee.....Salama mkuu habari ya uzima
MhhhhSina hata kaselfie leoo
Kwema lakini
Vocha zinapanda hapa zikiwa mpyaaaHivi Mjep unaweka vocha zilizotumika au kuna watu wanawahi kuweka ?