Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,568
- 235,405
Tuone tuone [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Wee tumboni ubaki hivohivoooo kitambi sio kabisa!! !!
Saivi nguo za kuchomekea zitakua walau zinakaa vizuri [emoji126][emoji126]!! Nikuoneshe sampo ya kitambi???[emoji1787][emoji1787]
Kitambi sio poa kabisa mdogo wangu hata [emoji6][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214]!Tuone tuone [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
SitakiiiEm njoo tuongeze weightππ
Kumbe huwa kinaharibu mambo?[emoji23]Kitambi sio poa mdogo wangu hata 6*6 mtu anakufurahia vizuri [emoji6][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214]!
Usitoke hapo
Nitakua nakukomesha π€£π€£Sitakiii
Ukitaka nisile vizuri agiza pizza au Injera
Thanks...Muwe na siku njema wapendwa!
Much love and respect from
Antonnia [emoji3577][emoji8]!
Ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Saint Anne ukiangalia hapo maendeleo yanaonekana kabisa
Asante!! Uwe na mchana mwemaβοΈβοΈNi[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hasa hii ya mwisho
Umeupiga mkubwa[emoji91]
Kamatia hapohapo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sasa mchana wangu utaenda vizuri[emoji3590]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wenye shape zao....Saint Anne ukiangalia hapo maendeleo yanaonekana kabisa
nzuri sana google uone ilivyo ππIpoje hyo, na me nataka
Asante mkuu βοΈβοΈ!!Wenye shape zao....
Asante mkuu βοΈβοΈ!!Wenye shape zao....
Kwa huu muonekano..usiwalaumu wanaokufata PMSaint Anne ukiangalia hapo maendeleo yanaonekana kabisa
Kwako pia Madam.Asante!! Uwe na mchana mwema[emoji3577][emoji3577]
Asante kamera tu mkuu!!Kwa huu muonekano..usiwalaumu wanaokufata PM
si nakuchomolea meetings πππNitakua nakukomesha π€£π€£
Injera ni nini
Na inaonekana tamuuππnzuri sana google uone ilivyo ππ
Pizza me naipenda ila sio ya kula kila siku.si nakuchomolea meetings πππ
Pizza sio tamu bana, watu tu mnairate kwa viwango visivyo
Injera chakula hiko mama πππ google,, mimi usinichoshe
πππ na biscuit zake kama uniform vile.. hapa natafuta chaka nipige sigara bwegeNa inaonekana tamuuππView attachment 2327364