Selfika na JF: Snap it. Show it

Asubuhi nimekunywa maji moto yaliyochanganywa na unga wa nido πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Achana na nido inakuharibu
Kesho jaribu maji ya moto yaliyochanganywa na asali na ndimu
 
[emoji23] na ninavyo yaegeshaga, heri tu uyaache kabla hayajakudondokea
Unajichetua vizuri sana! Keep it up![emoji3577]
Sema nini
Niko palee nasubiria yanidondokee [emoji117][emoji144][emoji144]
 
Achana na nido inakuharibu
Kesho jaribu maji ya moto yaliyochanganywa na asali na ndimu
Ndimu natoa wapi ?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nido na maji ya moto vinatolewa bure hapa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…