Tunatimiza agizoHiki kipindi cha baridi wana mimba kweli kweli wanelea watoto wa tumboni so utaona panapoa poa sana hapa
Vibaya hivoo Jamanii!! Basi hata lile jicho la kunguuu 😉!Sitaki 😂😂
Enendeni mkaijaze dunia 😂Tunatimiza agizo
Ndiwooooo😛Enendeni mkaijaze dunia 😂
👀 hilo hapoVibaya hivoo Jamanii!! Basi hata lile jicho la kunguuu 😉!
Mie nipo nahesabu miezi hapa.. tulete zawadi za watoto vichangaMhmhmhmhmhmhhmhm!!
twende zetu mahala tukala mihogo, hii inatosha ?Tunatimiza agizo
Umevuta bange leo??🤔🤔 Ndio macho gani hayo???👀 hilo hapo
By March April May next year 🧑🍼💃Mie nipo nahesabu miezi hapa.. tulete zawadi za watoto vichanga
4m mihogo tu 🤣 ni mnaenda kula mihogo ya Mars ama pluto?twende zetu mahala tukala mihogo, hii inatosha ? View attachment 2327216
Mambo yako nakuachia mwenyewe! Mdindo 🙌🙌😉!Tena ule mdindo wa asubuhi… unakuwaga nga nga ngaaa sana 🤣🤣
Kumbe unapitaga kule na hausemi? Uwe unatoa hata like basiNamjuaaa 😂😂😂 nikizururaga huko nakuona..
Kule nafikaga kuona venye wanaume wana trick gani, ili mbinu za kuchomoa zitafutwe
Ukute ushasababisha mahala mjomba umejuaje??? Hahaha ... hongeraaa[emoji122][emoji122]Mie nipo nahesabu miezi hapa.. tulete zawadi za watoto vichanga
Aweee😍😍😍twende zetu mahala tukala mihogo, hii inatosha ? View attachment 2327216
He! jirani tuone..Sitaki 😂😂
🤣🤣🤣🤣Tena ule mdindo wa asubuhi… unakuwaga nga nga ngaaa sana 🤣🤣
Napitaga 🤣🤣🤣 ikitokea nimelike ujue hiyo comment nitareply, ikiwa sivyo basi napita kimyaKumbe unapitaga kule na hausemi? Uwe unatoa hata like basi