Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Itakuwa ndio zile bitiCarrasco putin hivi Alayna alipotelea wapi hebu muite popote alipo aje aselfike!
Thobotoo
Pep hajambo[emoji848]
Basi endelea kutafuta hela didi ake😂The one I can afford inaharibu nguo 🥲
Inatolesha nguo vinyuzi
Kama nguo ina vifungo vile kama vya makoti, unaweza kuta ishatoa vifungo viwili 🥲
Nimemaliza sis nibless nichangamke kwanza 😘😘😘Eeeh haya nakusubili love
Namie nishamaliza kupika sis nasubiria mi blessings hapa 🙇🙇🙇Nlikua napika.... Nmekuja
Huwa natamani kukuongelesha ile lugha yetu ya kimataifa lakini tena nikikumbuka kuwa we ni wa kishua wala huijui basi naishia tu kusononeka kimya kimya 😁😁😁Nlikua napika.... Nmekuja
Nibakishie hiyo hiyo 😀😀😀Nikung'atie...???
Nzuri inauzwa sh ngapi? 😂😂 yan zile twin tub za laki 3,4 ni upuuzi, heri front loaderBasi endelea kutafuta hela didi ake😂
Ila kuna raha flani ya kufua nguo kwa mikono, usiwe tu umetoka kutengeneza kucha😅 utaichukia hyo kaz
ilikuwa zone ya hatari eeeh 😀😀😀Kwani hukumbuki ilikuwa n lini? 🥳🤣🤣
Unawashwa au nipo naye hukuLovelovie sis akee come this way pullliiizzzzzzzzzzz
Kwahyo imepauka hyo picha [emoji856][emoji856][emoji856]Unajitahidi siku hizi,, picha hazijapauka [emoji23]
Unawashwa au nipo naye huku
Kuwashwa tena khaa!! 🤔🤔🤔Unawashwa au nipo naye huku
🔥🔥🔥 exquisite
Wee hata najua😂Nzuri inauzwa sh ngapi? 😂😂 yan zile twin tub za laki 3,4 ni upuuzi, heri front loader
Hata niwe sijatengeneza kucha, kufua sipendi… napenda tu kusuuza 😅😅 nijimwagie mwagie maji tu
Soma Kitu ueleweKwahyo imepauka hyo picha [emoji856][emoji856][emoji856]