Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,570
- 235,411
Ewaaπ₯π₯π₯π₯Leo sina mpyaaa!!
Tukutane mida yetu ilee leo napita nakeeeedddddddddd πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈ
πππ voda wanyonyaji, lakini kuwahama ni kipengeleNdo ya voda inataka sana moyo, hili bundle halifiki jumatano sijui kunakitu kinakunywaa πππ
Miaka mi3ππβΉοΈ Ikikaaa siku ngapi utanipa zawadi
β ya leo tunaweza kuamua tukanywe hata Morocco π€π€Leo ya kahawa ipo ya kutosha βοΈβοΈβοΈView attachment 2325919
πππ ya Morocco ndio yenyewe sasa baada ya Italyβ ya leo tunaweza kuamua tukanywe hata Morocco π€π€
Ndoa ya voda ni ya kikirisitu πππππ voda wanyonyaji, lakini kuwahama ni kipengele
Kwahiyo tunaenda???ππππ ya Morocco ndio yenyewe sasa baada ya Italy
Hiyo acha nikose tuuu ππMiaka mi3
Nakupa road trip la kibabe
lazima twende nimeisha jiandaa nakusubiri nawe ujiandae , tuanze safari ππKwahiyo tunaenda???π
Ndio na ww kwenu pia Mwanza [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Kumbe wewe ni wa kwetu kabisa[emoji7]
Eeh dear, kwetu hukoπNdio na ww kwenu pia Mwanza [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
ila inabidi tuanzie pale eeeh πππKwahiyo tunaenda???π
Ni yeye boss Tajiri mrembo wa jf [emoji39][emoji39]Life is either a daring adventure or nothing at all .
Nina utajiri gani kapuku mieNi yeye boss Tajiri mrembo wa jf [emoji39][emoji39]
Uko poa lknNina utajiri gani kapuku mie
Miss you loads [emoji3590]