Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,571
- 235,411
Mchumba ,naona umekuwa motivational speaker[emoji123]View attachment 2325893
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]Nikajua ushajenga [emoji15][emoji15]
Mbuzi wa masikini hazai[emoji1787]Bado wamelala
Lakini utakuta
Imepita na mia[emoji1787]
Mamdo Natoka Promotion ya vocha za voda ikifika unistue mamdo!! Kam kauwaaa kam dauuuwaaaaaa kugombania siachiiiiiiiiiiiii!! ππMsifie mumeo Mjep maana hakuna mwanaume anayekupenda na kukujal kama huyo mpe vyote hata akiumwa mtibu kwa kiss na mahaba tele Kwanza mmeanza kufanana
Picha za Jana zimenipita[emoji3064]Muwe na wakati mwema nyote [emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji2214][emoji112][emoji2214][emoji112][emoji2214][emoji112][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214]
Hellooooooooowwwwwwwww[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!
Maisha ushayapatia babe13.8.2022. Full Moon Party, Kendwa View attachment 2325696
πππ Ni huzuni sanaπ€£π€£π€£π€£ tunaanzaje labda
Stress zako wewe ni ukiwa umefulia tu
Ni moja tu Usitoke hapo sasa Ni No kitambi anymore πππππ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έ
Ameniloga bana πππUtajua hujuiπ€£π€£π€£π€£
Kuna meme moja nimeikumbuka, nikiiona nitakutumiaπ
Yaniii sikuhizi ni inspirational quotes tu! I like that lakini!!
πππ upotezee hela?? Una kichaaaa???Me nilitaka niwapotezee, ila ulivyonikumbusha hapo hasira zimepanda upya π€£π€£π€£
Mambo ya serikali mengi ya michongo tu
Haikuwa bahati yako ... najua ungewatoa KO wote kwa speed yako uko vizure βοΈβοΈ!Mbuzi wa masikini hazai[emoji1787]
Jana nilisubiri haikutumwa...leo sijaja imetumwa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nikajua ushajenga π³π³
Mzee wa kutelezea πTbt Moscow ya putin wa Kino View attachment 2326215
π€£π€£π€£ asa kuanza kusumbuana na watu jaman ni kaziπππ upotezee hela?? Una kichaaaa???
Zikupande tu ili upate nguvu za kuwafatilia
Mimi hapa[emoji3059]Saint Anne Sitaki madeni ya rejarejaaaa nakuuliza tena upooooo???
Mambo za kina cocastic vijana mamboleo!!Tbt Moscow ya putin wa Kino View attachment 2326215
Kabisa[emoji1787]Haikuwa bahati yako ... najua ungewatoa KO wote kwa speed yako uko vizure [emoji3577][emoji3577]!