Jamani vipenzi vyangu. Siku bado haijaisha mbona. Leo ndiyo Leo napiga nitupieππTayari Nimekaa kwa kutulia Joan njoo unibariki kipenzi
Basi sauwaaaa kipenzi usisahau kunitag jamanii!!Jamani vipenzi vyangu. Siku bado haijaisha mbona. Leo ndiyo Leo napiga nitupieππ
Wafanye tu wamrudishe kwao haraka iwezekanavyo!!Mzungu alileta vifaa vya sensa huyo πππ
Santo sana sis Ngoja niitafute niangalie!!
Nipo macho 24*7 hrsKabisa pilot akiweka unistue namie!!
Inaonekana kali, mdada akiwepo kwenye mkonoπmovie hua inakua kali sana.
Mambo yetu ya kikubwa yapo lkn
SawA ccySanto sana sis Ngoja niitafute niangalie!!
Wabheja sana
Sawa loveInaonekana kali, mdada akiwepo kwenye mkono[emoji109]movie hua inakua kali sana.
Nitaitafuta niicheki dear
Ndyo maana unaachika kushabikia utopolo timu la ovyo ovyo tuNa picha π
Sijawahi kumuona lakini umesema ana figure amazingUwe unamkumbushalumbusha sasa siku nyingi sijamuona Joan S
Ni series ni mpya kama unataka yenye mambo ya kikubwa kaangalie lile li series la kizamani linaitwa sijui nn ntakwambia jinaMambo yetu ya kikubwa yapo lkn
Any way hii movie kama nishaiona siyo ya kifaransa kweli
π€£π€£π€£π€£πππππππ!! Acha niachikeeee yanga sihamiiiiiiNdyo maana unaachika kushabikia utopolo timu la ovyo ovyo tu
Akiachika ntamtafutia mchumba mwingine... Maisha ndo haya hayaNdyo maana unaachika kushabikia utopolo timu la ovyo ovyo tu
Haya mrembo nasubiri nimekaa kwa kutuliaHahahah siku bado haijaisha mkaka. Kaa kwa kutulia nitakutagg