Weuwee๐ฅฐ๐ฅฐUlivo mpana sasa[emoji6][emoji6]!!
Haya Usipepese hata kope Natuma kitu direct from Gallery no filter no screenshot no Snapchat hapohapooo [emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]
๐คฃ๐คฃ๐คฃHalafu miguu yetu imechanua huku mbele kama inasalimiana visigino.
Mimi nilishaanza kusalimisha vidole kwa mbele ..
Vile visigino kusalimiana nimeanza kupambana kwa nguvu kuondoa.
Langu huwa halisetiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila umependeza[emoji7][emoji7] kiportable
Hapo inatakiwa ulijulie ukipiga picha za hivyo unaliset tege linakaa vzuri inaonekana kama pozi flan hv
Ukitaka kupunguza tumbo nione.Weeeee๐๐๐๐ Nilikua nashinda masaa yote kama nimevimbiwa uwiiiiiii!! Nimeushindwaaa๐๐๐๐!!
Nasikia wanasema msukuma!Umejuaje Bosi Ledi? [emoji15][emoji15][emoji15]
We muache tu, asione vyaelea๐
Si ndio process yenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji2533]Weeeee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Nilikua nashinda masaa yote kama nimevimbiwa uwiiiiiii!! Nimeushindwaaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!!
Nyimbo gani madam nikurushe๐Nyiee Hakuna Dj humu anilete miee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
๐๐๐๐ nakuelewaaaLangu huwa halisetiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373]
Au basi! Nitakutumia pm kesho mdogo wangu!!! Wacha leo tuendelee kuchitchat sieeeHaya wapenz watazamaji msogee eneo la tukio [emoji23]msichingulie kimyakimya
Huyo ndio the one n only, akisema ndio imepita๐Naona anaketa mapicha picha nitatafuta mshenga mwingine๐คฃ๐คฃ๐คฃ
WeehUnalisema tu vibaya [emoji23][emoji23][emoji23] ila kiuhalisia halijakaa vibaya ya kutisha
Jamani nilivokaa Kwa kutulia hapa Leo tuanze kesho tumalizie ๐Au basi! Nitakutumia pm kesho mdogo wangu!!! Wacha leo tuendelee kucjitchat sieee
So sorriiiii๐๐๐๐๐๐
Ya mchongo[emoji23][emoji23]Ndiooooooo!! Mtoto hips hips h
aaawwwwwwwwwwwwwwww!! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
umenouna hatareeee!![emoji3059]
Umeanza lini longolongo Bosi Ledi?Au basi! Nitakutumia pm kesho mdogo wangu!!! Wacha leo tuendelee kucjitchat sieee
So sorriiiii๐๐๐๐๐๐
Yaani wewe ni chizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373]Fungua app kama Mange tupige pesa, una kipaji mtoto mzuri...
Jamani nilivokaa Kwa kutulia hapa Leo tuanze kesho tumalizieAu basi! Nitakutumia pm kesho mdogo wangu!!! Wacha leo tuendelee kucjitchat sieee
So sorriiiii๐๐๐๐๐๐
Unaitwa Waleteee - Kaimba yulee msanii mwenye minywele kichwani sijui jina lake mwenzio!! Bushi kunanizeesha Hakyanani!!๐คญ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐คฃ๐๐!!Nyimbo gani madam nikurushe๐