Selfika na JF: Snap it. Show it

Mama nae Nae anaendelea vizuri kabisa Madam!
Yeah nipate baraka make nina muda kidogo nilikua sijamuona mzee!!
Sawa Mpenzi nafurahi kusikia wanaendelea vizuri. Mimi bado nipo na vijana hawa ambao hawafungagi. Mpaka tarehe 19 ndio tunafunga. Nipate hata kasafari na mimi nikawajulie hali.
 
Sawa Mpenzi nafurahi kusikia wanaendelea vizuri. Mimi bado nipo na vijana hawa ambao hawafungagi. Mpaka tarehe 19 ndio tunafunga. Nipate hata kasafari na mimi nikawajulie hali.
Wee nyie candidates class mmewabakiza?? Mimi nina candidate class form 4 ila huwa sibakigi hata iweje pia Nashukuru nina likizo june mwaka huu si unajua ilisogezwa august!!
Sie wote wamefunga halafu shuleni kwetu ni moja ya kituo cha semina za sensa so huwa wanaenda wanafunzi wa zamu tu kufanya usafi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…