Selfika na JF: Snap it. Show it

Mnapenda wanaume black ila mnataka vitoto shombe[emoji28]So far ninao wanne tayari nje ila wengine nawatosa imekua too much[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawafuati ushombe wako baba weee, wanategesha ili wapate child support, wee yavagae eti unapendwa kisa shombe au weupe wako huo, nakuhurumia.

Wanawake huwajui vizuri, mie nataka mweusi, mrefu ili tukitoa kitu tunatoa half cast 1 ya kwendaaa.
 
Morning guys!![emoji113][emoji113]


Muwe na Siku njema yenye amani furaha na baraka telee!
Likawe kheri na fanaka kila jema mfanyalo IJN


Antonnia!![emoji3577][emoji3577]
Ahsanteeeee shouzzzz!!! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Hivi mimi nitaanza lini kuitwa jiraniau hiyo cheo bado sijahitimu mafunzo yake😜
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂 wewe bossiiii lakutosha 💃💃💃 bossi wetu ulietukukaaa the One and only great kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinnnggggg Mjepppppp
 
Yaniiiiiii tumemmsi mnooooo!! Na Juzi ulimwita kwamba kuna vocha/ zawadi zake bosii!! Au nimechanganya files??😉😉😉
Weeee kumbe kuna zawadi zangu eeh? I pray usiwe umechanganya mafile, zawadi zikayeyuka🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…