Mwanzo wa safari ya maisha ya kujitegemea.
N:B Nakumbuka niliwahi kupanga chumba kati ya wapangaji wote Mimi ndio nilikuwa choka mbaya sikuwa kitu chochote cha umeme zaidi ya karadio kadogo mpaka bill ya umeme nilikuwa napunguziwa na wapangaji wenzangu.

Leo sitaki kuongea sana poker nimevaa mkanda wa kupunguza tumbooo hapa sipumui vizurii sicheki vizuriii sikohoi vizurii sili chakula kingi kidogo tu eti nashibaa unanibana hatariii naumiaaaa uwiiiiiiiiiii
!
cocastic shoss angu haya mambo zenu
Vijana yanaendaa kunishinda