Hapo tu ndio wanafeliii! Hawajui kabisa kupika huku vyakula vyao vingi wanachemshaaa afu vibayaaaa the same applies to Uganda!! Mie pia huku sijisumbuagi kabisa kula sijui mama ntilie labda uende hotel kubwa kubwa otherwise mapishi bukoba ni zirooooo!!

Wee upo missenyi kumbe hahahaaa!! Za Uganda zimejaa tele hapo bei yako tu! Mie hata sio mtembeaji kabisa hapo huwezi amini sijawahi ingia huwa naona tu nikiwa napita toka Ug kwenda Bk!