Selfika na JF: Snap it. Show it

Mlipendeza sana shosss!!

Mcharuko wetu ni huyo kati alovaa gauni au anayefuata kwenda kuliaa!![nimepatiaaa???
wee tena usimjue shougareeee wako?? Kwan mcharuko wenu anajificha?? Akionekana unajua ni yeyeee.

Amenyoooka km rulaaa, hana mbambamba.
 
Hebu muambie afanye mpango wa jezi, yaan hadi ziishe shoustieee???
Poapoaa shoss angu kuna mida huwa nampa asome komenti zako hahaa ndio juzi nikajichanganya😂😂😂🤣🤣🤣 nusu anipopoe😉😉!!
 
wee tena usimjue shougareeee wako?? Kwan mcharuko wenu anajificha?? Akionekana unajua ni yeyeee.

Amenyoooka km rulaaa, hana mbambamba.
Khakhakhaaaa!!!! Nimenyooka kama rulaaaaaa 🤸🤸💃💃💃😘😘!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…